Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Wakati Waislamu kote duniani wanajiandaa kusherehekea sikukuu ya Idd ul fitr siku ya Jumatano ikiwa ni kuhitimisha kilele cha mwezi mzima wa ibada pasi na kula wala kunywa kuanzia alfajiri hadi jioni, Waislamu wa Dhehebu la Baye Fall wanaofuata itikadi ya Sufi hawaamini katika KUFUNGA kwani Imani yao inawataka wajinyime na kuwalisha jamii wasiojiweza wanaofunga WAKIAMINI kwamba thawabu wanazopata ni kubwa mno kuliko kujenga misikiti 1000@@.
pichani wanaonekana wakiwa wamebeba masinia ya vyakula kuwapelekea wanaofunga...........
pichani wanaonekana wakiwa wamebeba masinia ya vyakula kuwapelekea wanaofunga...........