Mwana wa Nuru
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 588
- 410
Msamiati
Simply Tanzania ina zaidi ya waislamu na wakristo na nadhani kundi kubwa hapa ni wale wa dini za kienyeji kwani wengi bado wanatambika mababu na mabibi, wanawasiliana na wachawi(waabudu shetani) hata kwa kupata ushindi wa mpira au wa kisiasa, hata kama wanajifanya ni wakristo wa waislamu ilhali dini hizo zinapinga ushirikina.
Kwao, dini hizi mbili ni mfumo wa kisasa wa maisha ambao cha muhimu kwao ni kuzikwa tu ama kikristo(kama kupo) au kiislamu(kama kupo pia). Uepo wa watu wa imani kali kwa dini yoyote kati mbili hizi, au yoyote nyingine, ambayo itahalalisha mauaji, itakuwa ni tatizo si kwa dini hizi mbili tu bali pia kwa wale wasio wa dini hizo.
Nito angalizo tu kuwa jirani zetu Rwanda na Burundi walipochinjana na kulipuana kwa misingi ya uhutu na ututsi, hata wasio wa makabila hayo waliathilika. Isiwe hivi kwetu au popote pale.

Last edited by a moderator: