Waislam waandaa rasimu ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislam waandaa rasimu ya katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Luteni, Dec 23, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislaam (T), limeanza mchakato wa kuandaa rasimu ya katiba hiyo ambayo itawasilishwa serikalini ndani ya siku 30.

  WanaJF mna maoni gani.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa, ni sehemu muhimu sana ya washikadau wa nchi hii na katiba yenyewe.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Maoni gani mkuu?? huwa siwaamini kabisa hawa watu.

  FYI and to put record clear ni waislamu wachache sana ambao hawana inferiority complex, wengi wao ni mzigo, mzigo mkubwa mno. nikianza kusema hapa sitaeleweka na nitaonekana mdini, ila ukweli ndio huo, hawajatulia hawa, wapepewe dawa yao ni kuwa kimya tu, serikali ipokee hayo maoni yao na ikae kimya kabisa , ukisema tu kitu against ..TAYARI WANATUONEA, inaonekana ni neno la kwanza kulijua kabla ya neno mama!! waislamu wako uarabuni hawa wengine maigizo tu, ili naweza kulitetea kwa nguvu zote..mmoja aseme nianze
   
 4. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I got u Waberoya, ila wana haki kama wengine, katiba ni yetu sote, kwa hili nawapongeza sana Waislam, mm ni mkristu, ila hapa sijaona kosa lao
  tusije kutoaminiana kiasi hiki, ila natoa tahadhari wasije na mada ya kupendekeza katiba mpya iingizwe kifungu cha MAHAKAMA YA KADHI, HILO TU, wasiwasi wangu ni hizo 30days ni siku chache may be wangesema 60 days hivi ningewaelea.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mimi ninaamini ya kwamba kila mdau wa Katiba hatoacha kutafuta KUIMARISHA ZAIDI YALE MAMBO YANAYOTUUNGANISHA ZAIDI kama taifa kwenye rasimu zao mbali mbali na KUYAKWEPA KWA MBALI SANA MASWALA YOTE YENYE MISINGI YA KUTUGAWA KAMA TAIFA chini ya misingi ya itikadi zetu tofauti tofauti nchini.

  Na kwa wenzetu Waislamu wala sipati shaka nao katika kuzingatia hilo sawa sawa na SERIKALI pia kama mdau wa katiba nao pia tunawatarajia waje na rasimu yao murua wakapendekeze kwenye mkutanowetu wa katiba kitaifa hapo baadaye kidogo. Pia, usisahau kwamba
  Profesa Lipumba, Salimin Komando, Dr Shein, Mgeja, Prof Shivji, Prof Abdalla Safari na Maalim Seif nao yuko mle ndani na kwamba nina uhakika ya kwamba hatopenda kufumbia macho masuala ya kutugawa kama taifa bali lazma atashauri zaidi juu ya hayo yenye kutuunganisha zaidi kuwa kitu kimoja kuliko hata tulivyokua kabla ya kuandikwa Katiba Mpya.

   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nani kawaomba? hawa jamaa kwa kifronti bana.
   
 7. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna nini ktk mapendekezo yao?
   
Loading...