Waislam Mpo wapi uchakachuaji katiba mpya???

Waislam Mpo wapi uchakachuaji katiba mpya???

the ultimatum

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
408
Reaction score
118
Wanabodi tangu kuanza kwa awamu ya pili ya bunge maalumu la katiba (BMK) tumekuwa tukiona taasisi za kikristo zikiungana na maoni ya taasisi nyingine nchini katika kupinga kinachoendelea bungeni wakati huu.

Aidha ni ukweli uliowazi kuwa wajumbe wa bunge maalumu ambao walio wengi ni wanachama na makada wa CCM ambao wameichana chana rasimu ya pili ya katiba iliyosheheni maoni ya wananchi na kuamua kutengeneza rasimu yao ambayo wanaendelea kuijadili.

Taasisi nyingi nchini zikiongozwa na taasisi za dini ya Kikristi zinapinga kuendelea kwa BMK tangu watoke ukawa bungeni. Lakini chakushangaza waislamu hawajatoa tamko lolote la kukemea badala yake wapo kimya kanakwamba wanaunga mkono kinachoendelea bungeni. Hii inatia shaka sana hasa ukizingatia kuwa wao wamekuwa na malalamiko mengi sana tangu uhuru wa nchi hii.

Waislamu kulikoni?????
 
Hawana taasisi moja inayowasemea wote kwa ujumla wao
 
bakwata wako wapi? maana ndio wenzie katoriki kwenye inchi yao! lkn nashangaa katoriki wana ubalozi lkn bakwata hawana ndiomaana komya!
 
Waislamu wapo japo mnawabambikia kesi za Ugaidi ,kwa kuwa tu wanadai serikali tatu dawa yenu na hao wakuu waubambikiaji ni kuikataa Katiba yenu .
 
Back
Top Bottom