ofisi za UNDP Tanzania imesema haijawahi kuwa na mfanyakazi mwenye jina hilo
yaaaani wanatudharau sana,hvi jk hatambui kuwa jamii ya kimataifa imemchoka jamani???
Dont start, dont even go there - beware the boomerang, it has this nasty habit of coming right back at you! On second thought, how about this, Tanzania happens to be Africa's largest recipient of aid with the British tax payer being the largest unilateral donor!kukataa ushoga ndio iwe sababu ya kutunanga hivi. Richard mwenyewe ukiangalia picha yake ni kama shoga
Kuna wazungu wachache sana ambao hawamdharau mtu mweusi, so I am not surprised. Kila sifa mbaya atapewa mtu mweusi. Hii sio kumaanisha kwamba Kikwete ni kiongozi bora.
Haya maswali kamuulize mkeo, kama unaona post huielewi uliza usaidiwe au simply ipotezee.1 - Je, unajua kusoma?
2 - Je, unajua kusoma Kiingereza?
3 - Je, umeelewa kilichoandikwa?