The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Waingereza wengi wanadai mrithi wa kiti Cha ufalme mfalme mtarajiwa kama Baba Yake king Charles akifa, prince William anafanana Kama real estate agent Yani dalali.
Muonekano wake umekaa kushoto kishambashamba na kicomunisti ukilinganisha ye ni mfalme mtarajiwa.
Hii inatokana na muonekano wake wa nje physical appearance. Vaa Yake na kujiachiaachia.
Japo anasifika Kwa kauli ya amri na utawala authority ila Mimi simkubali kwasababu ni Kati ya wanafamilia katika familia ya kifalme uingereza waliomuonea Meghan markle mke wa mdogo wake, prince Harry na kumpa wakati mgumu.
Namkubali Sana Harry kuliko huyu dalali.
Senior JA Royal expert
Black Sniper
Nyau de adriz