atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Mhhhh unanishawishi vibaya ww jamaaSwimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.
Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.
Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.
Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.
Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!
Yaan sio kwa kujidai acha tu nisiseme mengNdio sehemu zako za kujidai nin ukhuty???
Sema tu Ukhuty au ni sehemu yenye kumbukumbu kwenye maisha yakoYaan sio kwa kujidai acha tu nisiseme meng
Hamn ni nyumbani tuSema tu Ukhuty au ni sehemu yenye kumbukumbu kwenye maisha yako
Okay In Shaa Allah siku moja nitatia team huko,usishangae siku unaniona PM mkuuHamn ni nyumbani tu
Karibu sana sana sana yaanOkay In Shaa Allah siku moja nitatia team huko,usishangae siku unaniona PM mkuu
Poapoa bibie UkhutyKaribu sana sana sana yaan
standard room si chini ya dolari 85Tanga beach resort.... utapata view nzuri kuona mikoko
Mkuu kipumbwi hilo jina lako ni nyumbani kwetu nilipozaliwa naona ni vizuri tukafahamiana zaidi if you dont mind.Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.
Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.
Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.
Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.
Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!
Mkuu kipumbwi hilo jina lako ni nyumbani kwetu nilipozaliwa naona ni vizuri tukafahamiana zaidi if you dont mind.
Mdau mwenyew [emoji1][emoji1]Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.