Waifu iz waifu

Hahahahaha ni ukwelii au watu mmeunganisha matukio tuu...
Katika upaparazi hakuna tukio.lisilo.na maana unatakiwa upige picha nyingi uwezavyo! Katika tukio hili kama ulipiga picha 1 au 2 huwezi kupata uhondo wa habri hii!
 
Waifu iz waifu tu ila kwetu sisi wanaume kula kwa macho ni haki, hata uwe rais kama hawa hapa, Barrack Obama na Nicholas Sarkozy(Ufaransa).
 
Aliyekudanganya ni nani, wanaume wana wivu mbaya sana, fuatilia utaniambia
 
Obama was loosing himself ktk msiba kama sikosei so she came in to fix him...that's why people get married...get person who can fix you whenever necessary

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Reactions: vlc

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…