Kaka Poxino hebu nyosha kiswahili chako,na pia weka model ya hiyo Samsung hometheatre yako,ili tuweze kujua uwezo wake,pia si vibaya ukiweka na kapicha kidogo,nimeelewa kuwa unauza Samsung hometheatre lakini umepoteza remote kwa hiyo haina remote ni mpya na ina wiki 4 toka umeinunua,kwa hiyo wadau wawahi kuinunua kwani ni radio safi