Wahusika chukueni hatua sasa

Wahusika chukueni hatua sasa

mwamola

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
109
Reaction score
15
Nawapongeza Nyanza Construction kwa uwezo wao wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami hapa mkoani Dodoma. Mji sasa unaonekana kupendeza lakini pamoja na ujenzi mzuri wa mitaro ya maji, watu wameshaanza kuijaza mitaro hiyo na uchafu wa aina mbalimbali. Mamlaka husika chukueni jitihada kudhibiti uharibifu huo wa mitaro na ufagizi wa barabara zenyewe.

Kama haya hayatafanyika sasa kwa ahadi ya maneno yaleyale kuwa tunajipanga vizuri, mitaro hiyo ama kwa neno la kisasa miundombinu hiyo itaharibika
 
Sasa hapo kosa la nani? saa ingine tunailaumu serikali bure,haya mitaro ndio imekuwa dustbin?
 
Back
Top Bottom