Wahuni: They have done so much demage. Taifa limefubaa

Kama wana mkono hata kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama! Basi tutulie wafanye watakavyo.
Tumngoje Mungu wa Mbinguni tu.
 
Nikupe mfano (ndani ya miaka miwili, nipe habari yoyote ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya Tz). Hakuna. Zaidi ya kuchoma mashamba ya bangi.
Hapa umekosea sana. Juzi tu wamekamata watu 5 waliingiza madawa tani 11 kupitia ICD moja ya Temeke hapo. Kuna wafanyabiashara wa Masaki na Kinondoni.
 
Hii ni mbinu yao, ungeona kipande wanachochota, na wanachokufungulia! Wala usingeandika hivi.

Hata uchumi wako uwe vipi, siku ukikuta rasilimali zako, si zako, wewe ni mateka tu ktk nchi yako.
Okay wahusika watake good actions resources zitumike kwa wananchi wote, na kuwajengea wa TZ uwezo wa kumiliki uchumi wao wenyewe.
 
Octoba TUNATIKI kama kawaida.
Nyie endeleeni kupoteza muda wa kuchafua.
 
Hakika inasikitisha,tuamke hata sasa wananchi,jinai haifi.
 
Kwahiyo makonda naye yupo timu wahuni? nayeye washamuingiza kwenye mfumo? Kweli wahuni sio watu wazuri
 
Sio kila kitu ni kibaya kwa upande wa wahuni, wahuni wamejitahidi kufungua milango ya kiuchumi
Jinga Sana wewe, unaambulia makombo na bado ukiumwa kaswende unaambiwa dawa hospitali hakuna
 
Mkuu ushauri upi amabo, kama hutojali ni tag kwenye huo uzi wa ushauri wa MALCOM LUMUMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…