Mkuu tunazingatia usawa! hatubagui!Wahudumu wa baa siku hzi wanakuwa na sifa zinazofanana naona umesahau kuandika awe na CHURA, ili mkiwavalisha vile vinguo vifupi wateja wajae wa kutosha
Mie naona bar nyingi kweli wanafanya hivyoMkuu tunazingatia usawa! hatubagui!
Mie naona bar nyingi kweli wanafanya hivyo
Kuna bar nyingine mlevi akimpenda muhudumu anampa hela manager alafu anaishia nae
Kama kweli hamfanyi hivyo basi inapendeza sana
Na kutangaza nafasi za kazi hapa ni jambo zuri kwa wanaotaka hiyo fursa
Ila hujasema hapo unataka wahudumu wa kike au na wa kiume pia. Au usawa unaozungumzia ni wa jinsia yeyote ile
Pa nampa namba hii sister wangu atawapigia ajielezee mwenyew mtaelewanaWanatafutwa wahudumu 4 wa Bar iliyoko Kigoma Mjini!
Sifa za muhudumu!
,1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayar kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu
4. Awe anatokea mkoa wowote ndani ya tanzania
5. Usafiri mpaka kigoma itakuwa juu ya mmiliki wa bar!
6. Awe tayar kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
7. Awe tayar kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0762298230.
Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi
Ahsanteni
Hapana!Iyo bar itakuwa ya msanii Diamond nini,
Sasa usawa gani huo....Mkuu tunataka wa kike tu, asante sana kwa kunikumbusha!!
Mkuu nimeelezea katika tangazo langu hapo juu!Sasa usawa gani huo....
Duh! hapana kaka aina hii hatuhitaji.Wale wakiume mkuu vipi,hawa ni wale wa kiume ki mwonekano tu ila ni chakula pendwa kabisa,siku izi wanapenda kukaa mle kaunta,nafasi zipo?View attachment 1418754
Sent using Jamii Forums mobile app