kitaruo
Senior Member
- Aug 23, 2018
- 199
- 163
Jana mida ya jion, kituo cha mwendokasi, posta ya zaman, nilkata tiket ya mwendokasi.. nilitoa elfu moja nika rudishiwa miatatu.
Hii sio mara ya kwanza kunitokea,ilishantokea mara kibao, lakin nkanyamaza, leo nimeona nifunguke humu wajirekebishe.
Wenye tabia hiz ni kituo cha gerezan, kimara mwisho, mnzese na ubungo terminal
Mm nawahasa wawe wa staharabu, ukiwafata ww, hamsin imepelea hamta elewana, lakin kupunja chench hawaja
Sent using Jamii Forums mobile app