Wahouth huko Yemen wanachapika ipasavyo!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,930
Reaction score
6,030
Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku

Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha.

Moja ya shambulizi mashuhuri lilikuwa kwenye "Kiwanda cha Keramik cha Al-Suwari" katika Wilaya ya Bani Matar, magharibi mwa Sanaa, ambapo, kulingana na Wizara ya Afya ya Yemen, watu 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa.
Vyanzo vya Saudi viliripoti kuwa eneo kwa hakika ilikuwa kituo cha kutengeneza silaha kilichojificha kama kiwanda cha kutengeneza nguo (tazama video iliyoambatishwa).

Mbali na eneo hilo, malengo mengine nchini Yemen yalipigwa usiku mmoja:

  • shambulizi kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanaa na Kituo cha Ndege cha Dailami
  • Mashambulio 3 katika Wilaya ya Bani Hashish, mashariki mwa Sanaa
  • Shambulizi kwenye Kambi ya Maas kaskazini mwa Mkoa wa Marib
  • Shambulizi kwenye kambi za kijeshi katika Mkoa wa Al-Jawf

Wahouthi, kwa upande wao wameendelea na uongo wao kuwa walifanikiwa kuangusha ndege nyingine isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani jana usiku kitu ambacho ni uongo!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    8.6 MB
Sasa mbona wanaouliwa ni raia sio Al houth Tena wako kiwandani wanajitaftia rizk, tunachotaka kuona ni wamarekani ,waisrael british na saudia wakiingia kuwasaka hao waharifu ili wawangamize ila hicho kinachofanyika kamwe hawataweza kuharibu uwezo wa Al Houth ata Kwa asilimia 2 TU
 
Safari hii watanyooka tu!!
 
https://www.cnn.com/2025/04/06/midd...houthis-may-be-relishing-them-intl/index.html

$1b+..na hakuna kitu houthi wamefanywa
 
Sasa mbona wanaouliwa ni raia sio Al houth Tena wako kiwandani wanajitaftia rizk, tunachotaka kuona ni wamarekani ,waisrael british na saudia wakiingia kuwasaka hao waharifu ili wawangamize ila hicho kinachofanyika kamwe hawataweza kuharibu uwezo wa Al Houth ata Kwa asilimia 2 TU
Wananchi wako ndani ya kiwanda cha silaha? Punguza mizaha Chief.
 
Washazuia meli ngap kwa sasa
 
Wananchi wako ndani ya kiwanda cha silaha? Punguza mizaha Chief.
Wanaua mpaka watoto na wanawake, hakuna kiwanda Cha silaha Yemeni kikichopo hadharani hakuna Hata kimoja
 
Marekani asipo jiangalia hizi ndege zitaisha zote
1744598127280.jpg
 
Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku

Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha.

Moja ya shambulizi mashuhuri lilikuwa kwenye "Kiwanda cha Keramik cha Al-Suwari" katika Wilaya ya Bani Matar, magharibi mwa Sanaa, ambapo, kulingana na Wizara ya Afya ya Yemen, watu 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa.
Vyanzo vya Saudi viliripoti kuwa eneo kwa hakika ilikuwa kituo cha kutengeneza silaha kilichojificha kama kiwanda cha kutengeneza nguo (tazama video iliyoambatishwa).

Mbali na eneo hilo, malengo mengine nchini Yemen yalipigwa usiku mmoja:

  • shambulizi kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanaa na Kituo cha Ndege cha Dailami
  • Mashambulio 3 katika Wilaya ya Bani Hashish, mashariki mwa Sanaa
  • Shambulizi kwenye Kambi ya Maas kaskazini mwa Mkoa wa Marib
  • Shambulizi kwenye kambi za kijeshi katika Mkoa wa Al-Jawf

Wahouthi, kwa upande wao wameendelea na uongo wao kuwa walifanikiwa kuangusha ndege nyingine isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani jana usiku kitu ambacho ni uongo!!
We wacha story za cows sisi tunataka tuone kweli US atamahinda Yemen, mimi na uhakika 💯 US hawezi kuwashinda Al Houthi. Itabidi US akamlilie Oman awapatanishe yaishe.
 
Nani kakudqnganya wewe. Huu ujinga mnafundishana huko.madrasa huwa unawasidia nini mkuu. Nikutumie video
Hakuna unachoweza kunidanganya kihusucho Resistance axis pamoja na Israel pale M.E Ben Gurion Airport is no longer working, pamoja na bandari ya Eliot
 
Kumbe najadiliana na maulana. Mi juz nimetoka hapo niko china sasa hiv ningekutumia picha na video inayoonyesha na tarehe. Yaan miafrica ni bure kabisa. Waandikien na sudan basi mpunguze ulimbuken
 
Sasa mbona wanaouliwa ni raia sio Al houth Tena wako kiwandani wanajitaftia rizk, tunachotaka kuona ni wamarekani ,waisrael british na saudia wakiingia kuwasaka hao waharifu ili wawangamize ila hicho kinachofanyika kamwe hawataweza kuharibu uwezo wa Al Houth ata Kwa asilimia 2 TU
Kwa hiyo Israel na Marekani hawajui kabsa hilo ulilolisema Mtanganyika
 
Bandari ya Israel na airport hazifanyi kazi mchina na mrusi wanapita, marekani na britishi hakuna anayekatiza red sea
Muongo mkubwa wewe mimi Niko huku sasa hivi Ben-Gulion anafanya kazi usiku na mchana baada ya Pasaka wiki ijayo tunarudi nyumbani na tunarudi kutumia uwanja wa ndege wa Ben-Gulion. Hakuna kitu kilichosimama hapa. Magaidi wa Hamas/Houth wanapigwa kama kawaida!!
 
Attachments

  • v09044g40000cvsa6n7og65tih3ebqug.mp4
    7.8 MB
  • v09044g40000cvsl53nog65rpf1reg40.mp4
    19.7 MB
Hakuna unachoweza kunidanganya kihusucho Resistance axis pamoja na Israel pale M.E Ben Gurion Airport is no longer working, pamoja na bandari ya Eliot
Everything is working here!! Endeleeni tu kudanganyana Wafuga midevu na Majini!!
 
Muongo mkubwa wewe mimi Niko huku sasa hivi Ben-Gulion anafanya kazi usiku na mchana baada ya Pasaka wiki ijayo tunarudi nyumbani na tunarudi kutumia uwanja wa ndege wa Ben-Gulion. Hakuna kitu kilichosimama hapa. Magaidi wa Hamas/Houth wanapigwa kama kawaida!!
Tusije tu kutangaziwa kwamba Tanzia Mwa NA JAMII FORUMwa forum.ECHOLIMA AMETUTOKA.
 
Back
Top Bottom