Ila kwanini hawa wazungu waingilie mambo ambayo hayawahusu? Afrika tuna muungano wetu chini ya AU,SADC,ECOWAS etc. So wazungu watuache na Afrika yetu,siyo wanajifanya kua na huruma juu yetu kuliko tunavyojihurumia wenyewe. Wazungu ni WANAFIKI na WAZANDIKI wakubwa.