Wahi Yamebaki Mawili

Weka namba ya simu na bei nirushe pesa, nikisubiri hadi kufika hapo sitakuta kitu.
 
uje na ndimu na pilipili

Mh! kweli mahindi ya Dar kiboko, bila ndimu na pilipili haujauza mahindi bado, huko kijijini kwetu watu wanakushangaa kuagiza chachandu wakati wa kula mahindi.
 
Ya lini hayo, huku kwetu Mafinga tunakula yaliyotoka shamba muda huo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…