Wahi sasa offer hii ya external HDD

Wahi sasa offer hii ya external HDD

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
689
Pata 2TB external hdd kwa tsh.200,000/= tu kwa anayeihitaji awasiliane nami at 0689341445.....WAHI SASA NDO IMEBAKIA MOJA
 
Pata 2TB external hdd kwa tsh.200,000/= tu kwa anayeihitaji awasiliane nami at 0689341445.....WAHI SASA NDO IMEBAKIA MOJA

100000/- nitafute kwa namba hii 0655090000
 
Pata 2TB external hdd kwa tsh.200,000/= tu kwa anayeihitaji awasiliane nami at 0689341445.....WAHI SASA NDO IMEBAKIA MOJA

Hebu nifafanulie mi si mtaalam wa compyuta hiyo 2TB na sawa na GB ngapi?
 
hiyo inaitwa tera byte. duuh too much for me. kubwa sana. lakin bei nzur wadau wazee wa movie, au ma data makubwa usiache hiyo ofa....
 
Kaka hata kama umeuza,tunahitaji elimu zaidi,hicho kifaa kinakazi gani?plz

Ok n vzur sana bro kutafuta elimu
Hiko n kifaa cha kuwekea mamb kama unavyoweka vitu kwny memory ya cm yako ndo sawasawa na unavyoweka vitu kwny external hard disk drive (hdd). Sasa hizi zina uwezo wa kumiliki mamb!
Naomb nkuanzie mbali kidogo,
1 megabyte (mb) = 1024 kilobyte (kb)
1GB = 1024 mb
1 terabyte = 1024 GB
Kwa hyo 2 terabyte itakua two times uwezo wa 1 tb!
Mwenye zaid anawez akamsomesha mkuu..!!
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom