lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hata kama sio vita ya moja kwa moja kati ya Marekani na Urusi.
Laini ni vita angalau vya maneno na vikwazo kati ya pande mbili.
Sasa ona ndege ya Malaysia imedunguliwa na hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kumpata na kumuadhibu mdunguaji na sioni hatua za maana huko mbeleni.
Hii ni kwa nini, ni kwa sababu watuhumiwa ni wakubwa yaani ni ama upande wa Ukraine na Marekani walihusika au ni Waasi na Urusi walihusika.
Haya upande mwingine Europe nao wamelazimishwa kuiwekea vikwazo Urusi ilihali vikwazo vinawaumiza na wao huku Uncle Sam akifurahia kuwa Urusi itafirisika sasa Wa Europe wanalalamika kupata hasara.
Wahenga walisema mafahari wawili wapiganapo zinazoumia ni nyasi.