Wahenga nisaidieni, Nini kilimsibu Fernando Torres kupotea baada ya kuhama Liverpool?

Torres nilimpenda nikapitiliza akanifanya niipende hata timu ya taifa ya Spain lakini alichotufanyia siwezi kusahau hata siku moja
Lakini yote kwa yote nitaendelea kumpenda na kumkumbuka kama mchezaji kipenzi cha roho yangu
 
Back
Top Bottom