Mkuu, wahehe hawatahiri, mikoa mingi sana tanznaia hawatahiri kabisa. mkoa wa iringa, njombe, mbeya, rukwa/sumbawanga, kigoma, mwanza,tabora,dodoma,ruvuma, kagera yote, Kilimanjaro, hawatahiri kabisa. ukiona mtu ametahiri ujue amekulia mjini au amejipeleka mwenyewe akiwa mtu mzima. au labda awe amezaliwa familia ya kiislam ndio wanatahiri, ila dini zingine hawathubutu kabisa.Nataka kufahamu tu! Wahehe hawana Utamaduni wa kuwatahiri watoto wao wakiume?
Nimeona wanaume watu wazima wakihamasishwa kufanyiwa tohara.
Si jambo baya ila ni vyema kuwatahiri wakiwa watoto.
Nilidhani ni wasukuma tu, wasiokuwa na utamaduni huu...
Ni makabila gani mengine hapa nchini wasiokuwa na mila na desturi hii?
Mkuu, wahehe hawatahiri, mikoa mingi sana tanznaia hawatahiri kabisa. mkoa wa iringa, njombe, mbeya, rukwa/sumbawanga, kigoma, mwanza,tabora,dodoma,ruvuma, kagera yote, Kilimanjaro, hawatahiri kabisa. ukiona mtu ametahiri ujue amekulia mjini au amejipeleka mwenyewe akiwa mtu mzima. au labda awe amezaliwa familia ya kiislam ndio wanatahiri, ila dini zingine hawathubutu kabisa.
mikoa wanayotahiri ni kama tanga, lindi, dsm, pwani,mtwara,arusha,mara/wakurya, manyara etc, hao wengine wanafanya kimila ila wengine ni kwasababu ya dini ya kiislam hasa ukanda wa pwani. in general, itis possible kwamba asilimia 50% ya watz wanatoka makabila yasiyotahiriwa na hawajatahiriwa kabisa hadi leo. nashukuru Mungu nimetahiriwa kwasababu kutotahiriwa ni aibu kubwa nafikiri, pamoja na kwamba natoka kabila lisilotahiri, isipokuwa, kama ningekuwa sijatahiri hadi leo, nisingetahiriwa kwasababu naamini mtu asiyetahiriwa pengine anapata ladha bora zaidi kuliko mimi niliyetahiri, ndio maana wazungu wameanza kampeni ya kukataza watoto kutahiri baada ya study kuonyesha mtu asiyetahiriwa anaona utamu kuliko aliyetahiriwa.
wachaga wa wapi wanatahiri mzee, labda warombo wanaotahiri hadi wanawake. wengine wanaotahiri ni wachagga wa wapi? kibosho, machame, wapi? najua kuna wachagga baadhi wanakeketa wanawake ndio maana wachagga wa aina fulani hata kupata mme huwa shughuli...makabila yanayokeketa wanawake wao wengi hawaolewi masikini...Umeandika vyema! lakini hapo kwenye mikoa umeenda kombo kidogo.
Kilimanjaro wanatahiri toka zamani.
wachaga wa wapi wanatahiri mzee, labda warombo wanaotahiri hadi wanawake. wengine wanaotahiri ni wachagga wa wapi? kibosho, machame, wapi? najua kuna wachagga baadhi wanakeketa wanawake ndio maana wachagga wa aina fulani hata kupata mme huwa shughuli...makabila yanayokeketa wanawake wao wengi hawaolewi masikini...
mkuu, kama sio utamaduni wao, basi hawatahiri. kwasababu kuna watu hawataki kutahiri lakini utamaduni unawalazimisha, hivyo ukiona hata ule utamaduni wa kutahiri sio wao, baso hakuna force ya kuwalazimisha watahiri, sio desturi sasa unafikiri wanatahiri kweli hao?Wachagga wote wanatahiri, japokuwa sio utamaduni wao!!
CC: Mr Rocky, Arushaone, Mentor, Kibo10, Mtoto halali na hela.
Govinda.
Wanyakyusa,wachaga,wahaya. Wangoni. Ukiondoa makabila ya pwani,huko bara tohara unaonekana kama kilema
au labda tuwaulize kina dada, kama walishawahi kukutana na mchagga ambaye hajatahiri au wanakutana na waliotahiri...hao niliowakoti...mnasemaje jamani?Wachagga wote wanatahiri, japokuwa sio utamaduni wao!!
CC: Mr Rocky, Arushaone, Mentor, Kibo10, Mtoto halali na hela.
au labda tuwaulize kina dada, kama walishawahi kukutana na mchagga ambaye hajatahiri au wanakutana na waliotahiri...hao niliowakoti...mnasemaje jamani?
mkuu, kama sio utamaduni wao, basi hawatahiri. kwasababu kuna watu hawataki kutahiri lakini utamaduni unawalazimisha, hivyo ukiona hata ule utamaduni wa kutahiri sio wao, baso hakuna force ya kuwalazimisha watahiri, sio desturi sasa unafikiri wanatahiri kweli hao?
Nataka kufahamu tu! Wahehe hawana Utamaduni wa kuwatahiri watoto wao wakiume?
Nimeona wanaume watu wazima wakihamasishwa kufanyiwa tohara.
Si jambo baya ila ni vyema kuwatahiri wakiwa watoto.
Nilidhani ni wasukuma tu, wasiokuwa na utamaduni huu...
Ni makabila gani mengine hapa nchini wasiokuwa na mila na desturi hii?