kuna mshikaji wangu anampenz wake mhaya tokea kanyigo bas mwenyewe anamsifia anajua mambo kweli, kwa wanaojua tabia or sifa za wanawake / watu wahuko mtwambie!
kuhusu shape i have no doubt yupo poa, nyuma sasa ndio ucpime, kalio la ukweli. Hofu yangu mwenzangu mambo haya ndio yatakua yamemteka, vp akitangaza ndoa? Kunahaja yakujua tabia za huyo mwanamke before hajaharibu!
Mwambie jamaa akifika Kanyigo asisahau salamu hii kwa baba mkwe wake 'SHUMALAMU WAITU'......nadhani senene na kahawa za kutafuna atakoma nazo bila kusahau LUBISI kama traditional liqueur. Nyegera waitu.