we Arushaone unataka
kumchokoza Ruttashobolwa saa
hizi,na amechukia tayari mi sisemi!
Yaaah umepatia akanana Passion Lady
Huyo muache amemwagwa asubuhi mapema hadi namuonea huruma!
Bishanga huto ishi kwa kupenda na kupendwa bali utaishi kwa kila pesa uingizayo.
Hahahaha, unaumwa wewe. haitawezekana kwa sababu tatu:
Ila naweza kukuelekeza kwa alter wangu AshaDii who is a perfect match maker. Another one is Mzee Mwanakijiji but sijui kama ana muda wa kuunganishana siku hizi 🙂
- nimesha fika maxximum number of children I want to have
- Hatujuani kiivoooo, zaidi ya JF, imekuaje mwenzangu ummenidondokea to that extent?
- I have a man in my life who makes me happy (oh, so happy 🙂 )
Majiharibia kote kote maana mi nisha muona he didn't meant what he was saying. you should read his post, eti anataka tuzae na watoto, niwe wake wa milele. kukataliwa tu, huyooooo! lol
huyo manoah hanibabaishi!. kwanza nilimuambia aje tucheze draft akaogopa, dat akaogopa. sasa nasema hivi kama taraka aitoe leo leo ili niwe huru na kifaa mimisa. manoa nakushauri utoe taraka hata kwa shingo upande huyo mkeo hajatulia!. muache utafute mwingine ili kutunza heshima yako au unamuogopa?. mia
hayakuhusu
Hiyo namba 2 ndo yenyewe.Na yeye anataka kukuwowa ki Jf..Ila mind you huyo ni King mswati..
Nisha jibu mbona? swali nyepesi halitaki kupotezewa muda hili.
Nakupendaje mama mdogo? Mpe hi mzee
Sasa mwenziyo kamaanisha nayeye anaipenda JF umempiga beat taratibu ka stepdown mwonee huruma kwa kusikiliza kile alichosema ya wezekana anamaanisha!Nisha jibu mbona? swali nyepesi halitaki kupotezewa muda hili.
Sasa mwenziyo kamaanisha nayeye anaipenda JF umempiga beat taratibu ka stepdown mwonee huruma kwa kusikiliza kile alichosema ya wezekana anamaanisha!
Majiharibia kote kote maana mi nisha muona he didn't meant what he was saying. you should read his post, eti anataka tuzae na watoto, niwe wake wa milele. kukataliwa tu, huyooooo! lol
Hey, Mi sio Mod tena, sijui niwaambieje je jamani! At the same time huu ArushaOne nadhani asha wahi anzisha thread tena na utani wake huu. Utani haufai kabisa!Roulette umefanya la maana kumpa direct kick Arushaone! Tena pasipo kumung'unya silabi!.
Ungemkubalia huyu kuna siku ingekuja tokea, ama kwa kiburi tu, au kwa ulevi wa madaraka, as mod's husband angekuibia sever akutulima ban kama hana akili vile!
Ukakuta Chtcht, Mmu kabakiza member mmoja'mmoja!
You look far maddame.
Oh, hata ku-JF haiwezekani maana mwenzangu ndio mpenzi wangu hadi huku ki-JF, na amesha tangaaza. lol