Wahaya bwana lol!!

Wahaya bwana lol!!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Ndugu d rweyemamu wa masaki dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mwanae j rweyemamu wa oysterbay kilichotekea jana australia baada ya kupaliwa na burger akiwa anaendesha range rover yake mpya, mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda kuzikwa kwa aunt yao marekani ....
Taarifa ziwafikie ndugu wote akiwemo p ronaldo rweyemamu wa portugal, cyreen kardashian rweyemamu wa u.s.a ...... Inno torres rweyemamu wa spain....azeez walcot rweyemamu wa england na house girl marie aliyeko dubai kwa shopping"
 
Acheni kuwasumbuaàcheni wapumzike leo ni sikukuu hivyo msiwaharibie mood
 
Hahahaha wahaya ndo habari ya mujini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila wamezidi mashauzi lol yote iyoo ili iweje duuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom