A AHAKU Member Joined Jan 28, 2010 Posts 26 Reaction score 1 Feb 12, 2010 #1 Ndugu wafikiriaji naomba kuuliza hivi kwa nini wahariri wa vyombo vya habari Tanzania hawatulii sehemu moja kila siku wana hama hama?
Ndugu wafikiriaji naomba kuuliza hivi kwa nini wahariri wa vyombo vya habari Tanzania hawatulii sehemu moja kila siku wana hama hama?
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,222 Reaction score 4,184 Feb 12, 2010 #2 ..kwa Mfano??