Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,187
- 162,688
Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.
Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.
Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.
Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!
Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.

Kama lengo ni kuwafikia walengwa kulikuwa na haja gani ya kuwaita waandishi si mngepeleka tamko lenu ofisi ya Chadema, na kama walengwa ni waandishi wa habari basi tamko lenu wamelipuuza.Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.
Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.
Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.
Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!
Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.
Kama lengo ni kuwafikia walengwa kulikuwa na haja gani ya kuwaita waandishi si mngepeleka tamko lenu ofisi ya Chadema, na kama walengwa ni waandishi wa habari basi tamko lenu wamelipuuza.
Mnachotakiwa kutuambia Mangula alikuwa na biashara gani na Kagenzi.
Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.
Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.
Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.
Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!
Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.
Nape sijui akiwa hata na mkewe nyumbani hua anaongeaje! Yaan hana lugha ya staha kabisa muda wote yeye ni mipasho tu. Bora Kinana anajua kuongea japo ni sampuli ile ile. Hata hivyo ulitegemea akiri kua intarahamwe (ccm) inahusika? Ni mhariri gan angeandika utumbo kama huo kwenye gazeti lake zaidi ya Uhuru ambaye nae ni ili mkono uende kinywani?
Nape hana akili ndio mi mwenyewe najua, ila alichokisema kina maana, Dr. Slaa kazeeka sasa hivi nani atatakaTaarifa ya Nape ya kukanusha tuhuma za chama chake kutaka kumdhuru Dr.Slaa zimepuuzwa kwa kiasi kikubwa na magazeti mengi ya leo kwani wahariri wameipa kisogo habari hiyo kwa kutoichapisha katika kurasa za mbele za magazeti na mengine kutoandika chochote kabisa kuhusu habari hiyo yakiwemo magazeti ya chama na serikali.
Ukiacha habari kuhusu ajali ya Mbeya,habari nyingine iliyotawala ni kauli ya Zitto Kabwe kudai hana taarifa za kufukuzwa na kwamba anasubiri maamuzi ya spika.
Yaani kauli ya Zitto kwa waandishi yamfunika Nape wa chama tawala!
Kweli Nape na CCM yako watu wamewachoka!
Mwisho wa ubaya aibu!
Hoja ni habari kuandikwa kwenye magazeti au kuwafikia walengwa?.
Kwani wewe hiyo habari ya kukanusha umeipata wapi?.
Kama hujaipata kwenye gazeti huoni kuwa ujumbe wake umefika kwa walengwa bila hata ya kutegemea magazeti.
Vijana wa bavicha mnafurahisha sana!
Huwezi hata kuchambua hoja kwa kutumia fikra pana na pevu ili kuelewa mantiki yake.
Nimeamini watanzania wa leo si wale wa 47. hata mimi habari ya nape nilibadilisha chaneli nilipomsikia ana bwabwaja utumbo wake. maana tunamjua ni mwongo, Mnafiki, mzandiki, mzabizabina, mchawi, mlogaji, ndo maana serikali yake ni ya kuua watu wanaofanyakazi vizuri.Taarifa ya Nape ya kukanusha tuhuma za chama chake kutaka kumdhuru Dr.Slaa zimepuuzwa kwa kiasi kikubwa na magazeti mengi ya leo kwani wahariri wameipa kisogo habari hiyo kwa kutoichapisha katika kurasa za mbele za magazeti na mengine kutoandika chochote kabisa kuhusu habari hiyo yakiwemo magazeti ya chama na serikali.