assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Hivi kuna MTU anashaka kuwa aliyewatuma Mungiki Vina hotel ni genge la Lipumba na Kambaya? Hivi hawaoni namna kesi ya aliekamatwa ilivobadilika?
Bado chombo cha habari kinampa airtime Lipumba.
Ni aibu sana kwa Azam Media, ngoja siku waandishi wenu yawakute ndio utaelewa kuwapa watu airtime wasiostahiki.
Kaangalieni zile video footage hata chizi atagoma kubadilishiwa Maelezo.
Chukueni hatua, wadada wamepigwa wamedhalilishwa na wametishwa na genge la Lipumba. Acheni woga wahariri,ukweli upo wazi.
Ipeni adhabu kali kambi hii ya Lipumba na Kambaya kwani Kambaya kakiri wao ndio waliwatuma kufanya doria.
What evidence do you want?
Baraza la wahariri mnatia aibu.