Tatizo nyie madogo hamjielewi inabidi unapobisha kitu au kupinga uangalie na mfumo uliokuepo zamani ama inayotumiwa na vyuo vingine. Private huwezi ruhusiwa kufanya ata test kama unadaiwa. Labda nikuambie tu kwamba una bahati umefanya mtihani bila kumaliza kulipa Ada ila kisheria airuhusiwi popote pale sasa kama umefanyiwa usamaria ukaona hao watu wajinga na kuja kupayuka hapa as if wewe ndio umeanza kusoma hapo UD leo basi unajidanganya , kalipe Ada dogo. Long Live UDSM.