Wahamiaji 79 kutoka Ethiopia watiwa Mbaroni mkoani Pwani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wahamiaji 79 raia wa Ethiopia wamekamatwa katika kitongoji cha Kitame kata ya Makurunge wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo taarifa za kukamatwa kwa wahamaji hao zimetolewa na wananchi kwa maafisa wahamiaji ikiwa ni mpango wa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu.
 
Back
Top Bottom