Wahaini waliotaka kuipindua Serikali

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,331

MIAKA 20 BILA YA NYERERE: Wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa-7​

WEDNESDAY OCTOBER 09 2019​




Oscar kambona

Summary​

Kama Tanganyika ilikuwa tulivu tangu ilipopata uhuru wake, basi utulivu huo hauna tafsiri ile ile ambayo Watanzania wengi wanaifikiria. Ule mwongo wa kwanza tangu uhuru kulijitokeza mambo mengi, na mengine hayakujulikana sana, na huenda hayatajulikana kamwe. Tukio muhimu zaidi lilitukia mwaka 1968 ambalo baadhi ya maofisa wa serikali walidaiwa kula njama za kuipindua Serikali ya Mwalimu Nyerere. Mwandishi William Shao anaelezea katika makala hii...

Ingawa alikuwa maarufu sana Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla, Mwalimu Julius Nyerere alikabiliana na magumu mengi katika siasa. Alikuwa katika majaribio mengi ya utawala wake kuangushwa. Wengi waliomwinda walikuwa ni wa ndani na nje ya serikali yake.

 
Hivi Bibi Titi aliyeadhimishwa leo hakuwemo humu?
 
Reactions: BAK
Hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwasamehe wengi tu mathalani alipata kusema haya "ujana unawasumbua ,ni vijana tu waliingiwa ujinga ujinga wakayafanya waliyoyakusudia"....

Hayati baba wa taifa Julius Nyerere alikuwa ni mtu rahimu na mkarimu sana....ALIWASAMEHE KWANI UWEZO WAKE WA KIFIKRA WA KUTAKA TANGANYIKA/TANZANIA HURU YENYE SERA ZA KIJAMAA NA KUJITEGEMEA ULIKUWA NI MKUBWA MARADUFU NA WAKATI MWINGINE HAUKUWEZA KUELEWEKA VYEMA NA BAADHI YA WATU......

Siempre El Commandante Julius K.Nyerere🙏

Hasta La Victoria El Commandante Julius K.Nyerere🙏

YETZER-HATOV
 
Umemrithi johnthebaptist maendeleo hayana chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…