Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 969 Reaction score 3,070 Apr 11, 2025 #1 Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha. Malipo Buku kwa siku.....
Kwa Jinsi mambo yalivyo, naimani ipo siku waha, wataanza kukopesha kila kitu Maana Hawa jamaa wameshika hatamu uku mtaani kwa Biashara ya kukopesha. Malipo Buku kwa siku.....
The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,453 Reaction score 1,844 Apr 11, 2025 #2 We NI bure kabisa unataka kukopa utelezi au harufu ya jasho 😎
Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 969 Reaction score 3,070 Apr 11, 2025 Thread starter #3 The Coin Man said: We NI bure kabisa unataka kukopa utelezi au harufu ya jasho 😎 Click to expand... Utelezi wa kukopa maana waha wanafanya Biashara ya kukopesha
The Coin Man said: We NI bure kabisa unataka kukopa utelezi au harufu ya jasho 😎 Click to expand... Utelezi wa kukopa maana waha wanafanya Biashara ya kukopesha
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,314 Reaction score 25,454 Apr 11, 2025 #4 Hatari sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,751 Reaction score 1,251,442 Apr 11, 2025 #5 Na hawatapeliki kirahisi
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,434 Reaction score 14,894 Apr 11, 2025 #6 Hawa jamaa wanakula sana mademu wapenda dezo.(wake za watu ndio wengi) Yaani waha na bodaboda wanapelekana anus to anus kwenye suala la kula wake za watu.
Hawa jamaa wanakula sana mademu wapenda dezo.(wake za watu ndio wengi) Yaani waha na bodaboda wanapelekana anus to anus kwenye suala la kula wake za watu.
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,205 Reaction score 12,504 Apr 11, 2025 #7 Mnyenz said: Hawa jamaa wanakula sana mademu wapenda dezo.(wake za watu ndio wengi) Yaani waha na bodaboda wanapelekana anus to anus kwenye suala la kula wake za watu. Click to expand... Fafanua kidogo mkuu, tusanuke
Mnyenz said: Hawa jamaa wanakula sana mademu wapenda dezo.(wake za watu ndio wengi) Yaani waha na bodaboda wanapelekana anus to anus kwenye suala la kula wake za watu. Click to expand... Fafanua kidogo mkuu, tusanuke
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,823 Reaction score 113,405 Apr 11, 2025 #8 Numbisa said: Na hawatapeliki kirahisi Click to expand... Kama ni kuroga basi wanajua ila wana nidhamu ya fedha mno.
Numbisa said: Na hawatapeliki kirahisi Click to expand... Kama ni kuroga basi wanajua ila wana nidhamu ya fedha mno.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,928 Apr 12, 2025 #9 Hakika... Cc: Mahondaw
K konyola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 4,296 Reaction score 6,786 Apr 12, 2025 #10 Ukikopa umeisha utakuwa mtumwa wa marejesho kila uchao hakuna kitu utafanya kifanikiwe ukikopa laki 2 utarudisha milion 2
Ukikopa umeisha utakuwa mtumwa wa marejesho kila uchao hakuna kitu utafanya kifanikiwe ukikopa laki 2 utarudisha milion 2