Du hivi hawa ndo akina nzeze ama kweli shida na ndo maana wamejaa kama utitiri hapa dar mishikaki majipoa sigara karanga vocha mkokotini juis mikate na boda boda na mabox ya mizego na magunia pale mtaa wa congo na pemba na hawa naona kama wapemba walivo tawanyeka kila sehemu wapo