Wagonjwa waacha vitanda na kuomba kupiga picha na Mhe. Mbowe

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Wagonjwa waacha vitanda na kuomba kupiga picha na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe

Mhe.Mbowe jana alitembelea Hospitali ya Wilaya ya Hai pamoja na kuwasalimia wagonjwa waliopo hospitalini hapo ndipo gumzo lilipotkea baada ya sauti za wagonjwa kusikika zikisema "KAKA ,KAKA" kumbe walikua wakimuita Mhe.Mbowe wakihitaji angalau kumshika mkono nakupiga picha pamoja nae.

Mhe.Mbowe aliongozana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Mhe.Helga Mchomvu pamoja na Katibu wake Irene Lema

Mhe.Mbowe alitembelea Maabara ya hospitali hiyo.

Katika ziara hiyo Mhe.Mbowe alitembelea shule za sekondari katika kata ya Machame Kaskazini,Masama kusini na kata ya Boma yang'ombe

Takribani siku kadhaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe.Freeman Mbowe alikiwepo Jimboni kwake na alikua na ziara mbali mbali.

IMG-20170505-WA0040[1].jpg
 
Attachments

  • IMG-20170505-WA0034[1].jpg
    IMG-20170505-WA0034[1].jpg
    14.9 KB · Views: 120
  • IMG-20170505-WA0035[1].jpg
    IMG-20170505-WA0035[1].jpg
    15.1 KB · Views: 107
  • IMG-20170505-WA0036[1].jpg
    IMG-20170505-WA0036[1].jpg
    22.2 KB · Views: 101
Wagonjwa waacha vitanda na kuomba kupiga picha na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe

Mhe.Mbowe jana alitembelea Hospitali ya Wilaya ya Hai pamoja na kuwasalimia wagonjwa waliopo hospitalini hapo ndipo gumzo lilipotkea baada ya sauti za wagonjwa kusikika zikisema "KAKA ,KAKA" kumbe walikua wakimuita Mhe.Mbowe wakihitaji angalau kumshika mkono nakupiga picha pamoja nae.

Mhe.Mbowe aliongozana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Mhe.Helga Mchomvu pamoja na Katibu wake Irene Lema

Mhe.Mbowe alitembelea Maabara ya hospitali hiyo.

Katika ziara hiyo Mhe.Mbowe alitembelea shule za sekondari katika kata ya Machame Kaskazini,Masama kusini na kata ya Boma yang'ombe

Takribani siku kadhaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe.Freeman Mbowe alikiwepo Jimboni kwake na alikua na ziara mbali mbali.
mbona sioni nesi wala daktari au macho yangu?
 
Asee hivyo vitanda ukiangalia bila utayari fulani vinaonekana kama pool table
 
kweli wagonjwa kutaka picha na mbowe ndio habari?
akili yenu imeshagota hapo? na mnaitaka nchi?
 
Back
Top Bottom