Wagombea wamesahau kuwa taifa linaombewa

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,404
Kutokana na hali inavyoendelea vyama mbalimbali vya siasa vinafanya kampeni kinyume na sheria iliyowekwa. Hivyo wanafanya dhambi ya kuvunja utaratibu
Taifa hili linaamini Dini japokuwa serikali haina dini ila watu walioserikalini wana dini
Inapotikea chama kufanya dhambi ya kutaka kuiba, kuongea uongo, kupanga mipango yoyote ile inayohusu kuharibu au kuwaaribia wenzao ni dhahiri watu hao hawafai kwa maana hawana hofu na Mungu
Tunaiona Tanzania Leo ukiongea ukweli ww ni mmbaya,
Ukitaka haki unatukanwa na mambo mengine mengi
 
ccm ndiyo iliyotufikisha Hapa,tuungane kuitokomeza
 
Ccm ipi mafisadi waliotufikisha hapa tulipo. Wakitumika ktk vyeo vya juu kabisa katika serikali ya ccm. Leo wamekumbatiwa na kuonekana malaika. Hapo kuna mageuzi yenye tija? gongo ni gongo hata ukiiweka kwenye chupa ya maji ya kilimanjaro itabaki kua gongo tusidanganyane
 
Back
Top Bottom