wagombanao

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
16
huu msemo una ukweli wowote,hivi kama mnagombana mara kwa mara na mpenzi wako ni kweli ndo mtadumu au uzushi? maana wanasema wagombanao ndo wapatanao
 
mapenzi kama neno lilivyoyanapaswa kuongozwa na upendo wa dhati kati ya wawili, sasa kama mnagombana kila siku hapo maana ya mapenzi haipo kabisa. nyie tutawaita sex partners
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…