Wagigisi wa Mauaji

CHAMA CHA MACHAFUKO KATIKA UBORA WAKE
 
Ndio hizo siasa za hao ccm mlizokua mnazijadili huko hivyo?
Punguza uoga kwenye mambo ya siasa, ukiwa tayari kutuma ujumbe wa kejeli uwe tayari kupokea ujumbe wa aina hiyo hiyo. Nimeshawahi kukusoma mara nyingi tu kwenye mitandao, punguza mihemko unapokuwa unataka kutuma ujumbe fulani wa kisiasa, tambua kwamba kuna opposite reaction utakayokutana nayo baada ya ulichokituma kuwa kimesomwa na public. Jenga tabia ya utulivu ukiwa unajishughulisha na masuala haswa ya hizi siasa za mitandaoni.
 
Wewe unaosoma huku unakurupuka ndio unakua na shida ya uwelewa pole sana punguza kukurupuka na kuwa na Mahaba yasiyokua na tija kwa kijani tunazungumzs uwalisia hapa
 
Wewe unaosoma huku unakurupuka ndio unakua na shida ya uwelewa pole sana punguza kukurupuka na kuwa na Mahaba yasiyokua na tija kwa kijani tunazungumzs uwalisia hapa
Ha ha ha, aina hiyo ya response yako ndio yanayofanya watu wakutishie maisha. Nenda shule ukajifunze utulivu unapokuwa kwenye maongezi ya kijamii, lako wewe wala sio tatizo linalotokana na ujumbe wako kwa jamii, bali ni tatizo dogo tu la kisaikolojia. Unapenda sana siasa pasipo kutambua kuwa hao wanasiasa hawana uhasama miongoni mwao, ni marafiki ambao hupeana mawazo ya kibiashara na kimaisha kila wanapokuwa faragha. Usidanganywe na siasa za nchi hii, utakuja kuumia moyo wako, siku ukiugundua ukweli wa maisha yenyewe ya kisiasa.
 
Sasa anaeendekeza siasa za chuki ni nani?
 
Wamesema "wataninyamazisha". Sasa sijui wanataka kuninyamazishaje. Kama Kamanda Mawazo au? mi sielewi.!

huenda wanataka kukunyamazisha kisiasa. kukuzidi kisiasa mpaka ukajikuta huna hoja kisiasa. chukulia dhana hiyo mkuu..
 
Wamesema "wataninyamazisha". Sasa sijui wanataka kuninyamazishaje. Kama Kamanda Mawazo au? mi sielewi.!

huenda wanataka kukunyamazisha kisiasa. kukuzidi kisiasa mpaka ukajikuta huna hoja kisiasa. chukulia dhana hiyo mkuu..
Lakini kunakunyamazishwa kwa namna nyingi sana
 
CHAMA CHA MACHAFUKO KATIKA UBORA WAKE

Nilifikiri najadiliana na mtu mwenye kujifahamu na kuifahamu siasa kumbe duh, hakuna hata mtu mmoja anazaliwa na chama,watu wanachojali ni interests zao tu na interests sio permaneant, ukisema wewe unasema hivi kwa sababu ni CCM au CDM unaharibu mjadala, yuko wapi Kingune, yuko wapi Padri, yuko wapi Esther Bulaya, orodha ni ndefu, ishu ni kuwa unapata nini na unataka kumuua au kumuumiza nani, hata wewe ikifika zamu yako kuumizwa utakimbia tu ukatafute usalama kwingine. Hebu rudi shule ukasome different school of thoughts kuhusu political philosophies, kama za akina Nicolo Machiavelli na wengineo wengi ujue unatakiwa ufanye nini katika situation gani uache kuleta utoto wako hapa na kulia lia kwa vile tu ulifikiri siasa ni mchezo kama 'kombolela'.
 
RIP Chacha Wangwe!
 
Utoto upo wapi hapo?
 
Utoto upo wapi hapo?

Utoto ni metaphorical language hasa baada ya kuonekana kwako kushindwa kutambua siasa zinaendeshwajwe duniani, pata uelewa wa Machiavellianism kwanza na mengine utayafahamu taratibu
 
Wambie ukweli. Mageuzi ya elimu alianza Rais Mkapa hiyo ilikuwa ni mpango wa muda mrefu. Ilikuwa si rahisi vyuo vikuu vijengwe 2001 pale serikali ilipoongeza udahili shule za msingi kwa kufuta ada.
Ni wazi kuwa ongezeko hilo lilihitaji ongezeko la sekondari, na vyuo.
u
Utadanganya wasiofatilia historia ya nchi na matukio yake.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanamchango katika matumizi ya rasilimali. Dhahabu, tanzanite, ges ilikuwapo tangu dahali lakini teknolojia yetu haikuwa wezeshi.
Pia kwa miaka mingi siasa ya dunia haikuwa imetulia kwa vita baridi hivyo uwekezaji kuwa mgumu. Pia utaifishaji mali 1967 uliathiri uwekezaji na hii ari ilikuwa ya watanzania wote.
Hivyo ni ujinga na usariti kulaumu watu fulani kuwa ndio wametukwamisha. Tutumie elimu yetu vizuri kwa kuinua ari ya Watanzania kufanya kazi na kukubari kuwa juhudi zao zinazaa matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…