Wageni wengine noma.
CHEKI HIII...
MWENYEJI; Utakunywa soda au chai?
MGENI; Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
MWENYEJI; Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
MGENI; Nipe coca, hiyo sprite utaniwekea kwenye friji!
MWENYEJI; Unapenda mikate au maandazi?
MGENI; Nipe maandazi kwanza, mikate ntakula na chai.
Ilipofika jioni.....
MWENYEJI; Nikuandalie wali nyama au wali samaki?
MGENI; Niandalie wali nyama, ntakunywa na ile sprite, ila unifungie hizo samaki ntaondoka nazo...!!!!!!