B bmalale Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 466 Reaction score 24 Nov 23, 2013 #1 Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa mmoja wa maafisa waandamizi wa serikali ya nchi hiyo amesema. Source:Zimbabwe warns foreign firms of January 2014 arrest - THE EAST AFRICA TIMES Safi sana Mugabe Huku kwetu wanaauza tu vitunguu na malimao.......
Wamiliki wa makampuni ya nje yanayoendesha shughuli katika baadhi ya sekta nchini Zimbabwe kuanzia Januari mosi mwaka 2014 hawataruhusiwa na iwapo watakiuka agizo hilo watakamatwa mmoja wa maafisa waandamizi wa serikali ya nchi hiyo amesema. Source:Zimbabwe warns foreign firms of January 2014 arrest - THE EAST AFRICA TIMES Safi sana Mugabe Huku kwetu wanaauza tu vitunguu na malimao.......