Wafungua Kesi Kisa Condom Feki

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
Wanaume wawili nchini Uganda Joseph Kintu na Sulaiman Balinya wameifungulia kesi Taasisi moja inayohusika na masuala ya afya wakidai ilisambaza condom feki ambazo zilipasuka wakati wakifanya tendo la ndoa na kusababisha Joseph apate HIV, na Balinya Gonorrhea.

Kintu amesema alinunua Condom hizo Oct 01,2019 na moja ikapasuka akiwa katikati ya tendo, alipopimwa Nov 06, 2019 akakutwa na HIV "June na September nilipima nikawa mzima, nimemuambukiza Mke wangu na amepatwa na uchizi wa ghafla”

Balinya anadai alizitumia Oct 22, 2019 akahisi maumivu alipoenda kupima Oct 24, 2019 akakutwa na maambukizi ya Gonorrhea.

Wanadai kilichowafanya wafungue mashitaka ni baada ya kuona Waziri wa Afya akitoa report Bungeni November 11, 2019 kuwa Mamlaka ya Dawa Uganda (NDA) imegundua condom hizo zilisambazwa kimakosa zikiwa hazina kiwango.

20200227_150838.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,878
2,000
Hapa Sijui mahakama Itafanya Nn Sema Wanaweza lipwa

Mpunga Mrefu Kimasihara wakiwa Makini lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafahamu sheria ya madhara....
ama the law of tort....
ama the law of delict...kwa walioshi SA...
hapo wanadai fidia kutokana na uzembe wa serekali kuruhusu hizo condom kuingia kwenye circulation...
lkn pia kutoka kwa kampuni husika
 
Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
Yess Nandio Maana nimesema wakiwa Makini wanaweza Lamba Mpunga mrefu sana

Ingawaje Sina Hakika sana na Sheria Zetu AFRICA ingekuwa mambele ni 100%
Mnafahamu sheria ya madhara....
ama the law of tort....
ama the law of delict...kwa walioshi SA...
hapo wanadai fidia kutokana na uzembe wa serekali kuruhusu hizo condom kuingia kwenye circulation...
lkn pia kutoka kwa kampuni husika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
3,330
2,000
Wengi humu mmezaliwa wakati gonorrhea limeshapotea. Nika ugonjwa kadogo kama mafua lkn kero yake ni balaa. Kuna lile unapiga mzigo usiku kesho tu saa sita unakamua maziwa. Sema tu enzi za gonorrhea watu walikua hawajagundua kitu inaitwa tiGO wala kuzama chumvini.
Lingekuwepo zama hizi wangeumbuka wengi
 
Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
Nishapata Huu ugonjwa Mkuu kwanza unaboa Pili niugonjwa wa Aibu sana

Wewe utakua mhenga. Gonorrhea lilipotea miaka ya 90. Hawa bodaboda wote hawalijui. Tatizo lake halijifichi. Usaha unatoka bila mpangilio na suruali inalowa bila wewe mhusika kuwa na taarifa. Halafu ukienda mnazi mmoja enzi zile wanakuambia, kamlete aliyekuambukiza. Hapo ndio ilikua shughuli
 
Top Bottom