Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,719
Wabongo wataiga tu....
Ndoa hieshimiwe na watu wotee
na wote tuseme amen
Majuu hamnazo
usiiige............
Hahaha watakuja wengine wataingia kaburini kabisa
Hapana mkuu! Kwa kuwa ndoa imefungiwa kwenye jeneza, kiapo cha ndoa kinabadilika na kuwa: till death finally do put us together.Implications za hicho kiapo ni kwamba katika maisha yao, akitokea mmoja kufariki basi watazikwa wote kwa pamoja!Hiyo inaitwa till death do us apart...