inasikitisha sana kuona CCM ina mtu kama mwigulu aliye bado na ancient tactics.... achilia mbali yule chizi kibajaji nk
while everyone in the world is making positive progress on politics, naona kama CCM inafanya negative progress kwa kushindwa kusimamia maadili ya vijana na wazee wake kwenye kampeni!!!