Wafuasi wa Mursi hawataki kusalim amri

Wafuasi wa Mursi hawataki kusalim amri

Duh! Wanajeshi wanadhani wameleta uvumbuzi wa tatizo kumbe wamechochea moto,mungu ibariki misri na afrika kwa ujumla

wanajeshi wamekosea!. Kwa sababu ukimuondoa rais aliyechaguliwa kikatiba ilitungwa na wapiga kura wenyewe kisa kuna maandamano basi itakupasa umrudishe yakitokea maandamano yanayotaka arejeshwe madarakani, halafu tena itakupasa umuondoe yakitokea mengine yanayompinga... Tena..... Suala la msingi ni kuwa je katika mazingira yale yale ya maandamano na labda makubwa kushinda yaliyopita jeshi linaweza kumrejesha morsi madarakani? Je na hata akichaguliwa rais mwingine yakitokea maandamano na hasa kwa kuwa hakuna rais duniani anayependwa na wote jeshi litampindua tena?
 
Takriban watu 15 wameuawa mjini Cairo kufuatia ghasia nje ya kambi ya kijeshi ambapo wafuasi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Mohammed Morsi wanaamini kiongozi huyo anazuiliwa.
Haya yanajiri huku ghasia zikiendelea baada ya kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa rais Mohammed Morsi.
Msemaji wa chama cha Muslim brotherhood amesema kuwa idadi ya waliofariki katika ghasia hizo imefikia 30 huku zaidi ya watu 500 wakijeruhiwa.Waandamanaji hao wanasema vikosi maalum viliwafyatua risasi baada ya swala ya fajir huku wengine wakishambuliwa walipokusanyika nje ya makao ambako bwana Morsi anadhaniwa kuzuiliwa wakitaka watawala kumwachilia huru.
Lakini katika taarifa yake, jeshi la nchi hiyo limesema kuwa kundi moja la kigaidi lilikuwa likijaribu kuingia katika kambi hiyo na kumuua mwanajeshi mmoja.
Limeongezea zaidi ya watu 200 walitiwa mbaroni wakimiliki silaha kama vile visu.
Duru kutoka wizara ya afya zilisema kuwa afisaa mmoja wa jeshi aliuawa.
Bwana Morsi, aliyekuwa rais wa kwanza wa kiisilamu kuchaguliwa kidemopkrasia Misri, aling'olewa mamlakani na jeshi, siku ya Jumatano baada ya kufanyika maandamano makubwa.
Mmoja wa waandamanaji Mahmud al-Shilli, aliambia shirika la habari la AFP kuwa wanajeshi waliwarushia gesi ya kutoa machozi lakini kikundi cha wanaume waliokuwa wamevalia mavazi ya kiraia ndio waliwafyatulia risasi.
Katika taarifa iliyosomwa kwenye vyombo vya yhabari vya serikali, jeshi lililaumu kikundi cha watu wlaiokuwa wamejihami ambao limesma ni mgaidi waliokuwa na njama ya kuvamia kambi ya jeshi.
 
kazi imeanza...... watakufa wengi
 
Mpaka sasa watu 75 wameishapoteza maisha.
 
We Ritz mbona unapenda sana kuwashabikia muslim brotherhood?pamoja na makundi mengine yenye mrengo wa kiislamu hasa siasa kali?

sasa wewe ulitaka ashabikie wagalatia tu na waliberali ndio utaskia raha!! au utamuona muungwana!?

Mtu yoyote ana haki ya kushabikia upande wowote ule, alimuradi asivunje masharti tu ya forum, finito!
 
not only illiterates but buffoons too

call them all the name you want! but they are taking OVER the WORD! they will soon be the DOMINANT PEOPLE ON EARTH! and I will say a BIIIG HALELUYAH TO THAT!
 
mwaka tuu kwa utawala morsi wa misri wanalalamikia ajira,jee tanzania miaka 52 hakuna cha ajira wala shemeji uchumi kukua na mfumuko wa bei balaa
 
yule myahudi mtoto wa josefu selemala aliyetahiliwa ndude na daktari ungali unamuabudu kama mungu??

Teh teh teh.
Gavana taratibu mkuu!

Naona unakazia swaumu hapo! High 5!

Manake daawa na swaumu vinakwenda sambamba!

Itabidi tuongeze miskiti manake hawa ndugu zetu wanakuja kwa wingi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom