CCM MISTRESS
Member
- Jan 9, 2013
- 14
- 5
Kwani huoni jinsi mnavyo ongoza nch? Ni mangapi yamefanyikakann mtu akileta hoja ya kuibeza cdm watu humu wanatoa maneno ya matus.kushambulia,anaonekana hafai,ila ile cdm mnaunga mkono.kama jf ni mal ya cdm tupewe taarafa.mm na wasiasi kama cdm mtapewa nch upinzan utapona kwel mtaua sama
Kwanini wafuasi wengi (wanachama wa chadema) wanapenda kuona negativity in everything?????.hawana lililozuri kwao,guys hata kama mtu anatabia mbaya anayake mazuri pia. u knw this make me think that wafuasi wengi wa chadema
1)ni wanafuata mkumbo
2)wengi wao akili zao sio nzuri hawana uwezo wa kupembua pumba na mchele
3)wanapropaganda nyingi kuliko vitendo
wabunge wengi wa chadema kwanza nawashukuru kwa challange wanazoleta bungeni,challange hizo ndizo zinazoleta maendeleo ya taifa letu.LAKINI MBONA WANAMANENO MENGI BILA VITENDO??
wanachama wa chadema kaeni chini mtafakari,do you think mtu anaongoza kwa maneno au vitendo?
mfano huu naufananisha ni iki kibonzo
Ritha;ninaumwa na nimekosa hela ya matibabu
Chadema inajibu:serikari yetu imeshindwa kabisa kushughulikia sekta ya afya wananchi 2015 msiipe kura.
CCM nao wanajibu:gharama ya hospital za government ni verry cheap but tunachangia kiasi kadhaa
Je ni yupi mwenye nafuu?? anaetoa lawama bila njia mbadala na utendaji??
FREEDOM OF SPEECH
huna unachokijua.
Ccm ndiyo inayowajibika kutatua matatizo ya wananchi. Ndiyo yenye serikali ambayo inakusanya kodi zetu. Ndiyo inayosimamia rasilimali zetu kwa ajili ya maendeleo yetu nk.
Sasa wewe unataka chadema ijenge hospitali kwa hela gani?
Sidhani kama kuna mwenye uwezo mdogo wa kufikiri zaidi ya wako. Unashindwa hata kujua kuwa chama chako kiko madarakani kwa ajili ya kufanya mazuri tu, na kikifanya mazuri hakistahili sifa kwa vile kinatimiza wajibu. Watendaji wote wa chama chako kuanzia JK wanalipwa mishahara kwa kazi wanazofanya, hawajitolei, we vipi??? Kufanya mabaya kama wizi na ufisadi wa CCM ni makosa ya jinai na walitakiwa kushtakiwa wote but mnalindana nyie majini. Dr Slaa is coming, mtalia kilio cha kusaga meno kule SEGEREA hapo 2016:ranger: HAHAHAAAA NDOTO ZA ALINACHA UKIIPA KURA CHADEMA WE PIA UNATATIZO KICHWANI NA WENDA UWEZO WA KIFIKILI NI 0
FREEDOM OF SPEECH