MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
inamaanisha ulale na mbolea ili uendelee kuota
Nimesoma.zaidi ya mara saba hat sijaelewa yaani nin??
ayaaaaa
Jamaa unazungumzia nn labda!?
sasa hapo hujaelewa nn honeyfaith
Sijaelewa chochote
Tafsiri yake wale wanaokudai wote kesho watataka hela zao
Kiswahili ni somo gumu na ukichanganya na hizi shule za kiswanglishi basi tabu tupu. Hatukuelewi mkuu sema na mtabiri na mnajimu wetu wa system sheikh Yahya hatunaye tena.
utapofuka macho....
umejikanganya mkuu hatujakuelewa vizuri