Wafanyakazi (Watumishi) fanyeni kazi hadi akili ziwakae sawa

Nimempenda sana huyu mbunge kwa kuwa mkweli. Inatia moyo kwamba sio Lumumba FC wote wamekopeshwa akili. Kuna wachache wanazo zao wenyewe,
 
Hivi huyu ni wa CCM!? Safi sana! Wafanyakazi wa Tanzania wametishwa hadi wanaogopa kusambaziana hii video!! Wanaona watachukuliwa kama wahaini!!?!
 
Kawachana live,Na Mimi nasema watumishi gomeni kabisa kabisa.
Waache ujinga hawa ccm.
Maisha mnayoishi sio, haiwezekani ni dhuluma dhuluma sana.
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom