Wafanyakazi wa DART wanavyoliibia Taifa

Inasikitisha sana kwa kweli. Hata transaction ya mpesa ya kulipia kwa wale wenye UDART Card imekufa. Kila ukilipia inakuambia "Samahani Huduma hii haipatikani na hutaweza kufanya miamala kwa sasa. Tafadhali jaribu tena baadae". Tunaomba yeyote anayehusika hebu ingilia kati uokoe hii hali. Mwendokasi ni usafiri mzuri, umetusaidia wengi lakini uendeshaji wake si mzuri.
 
watu wanakwapua 2.4trillion we unaumia na hao wanaoiba vimia mia!? acha wivu wa kike
ha ha ha kweli aiseee...mimi naona sawa tu.

Unaibiwa matrillion ya hela hupigi kelele, wanakuibia 650 unapiga kelele kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wezi wakamatwe, au hapo napo kunahitajika nini zaidi ya wapelelezi kwenda na kufanyiwa hivyo na kuwakamata wote, yaaani hapo napo JPM aseme? mzee wa watu atawaza mangapi kama na wizi wa kijinga hivyo mpaka akemeee, waziri, RC, Polisi wako wapi?



 
hawa wezi wakamatwe, au hapo napo kunahitajika nini zaidi ya wapelelezi kwenda na kufanyiwa hivyo na kuwakamata wote, yaaani hapo napo JPM aseme? mzee wa watu atawaza mangapi kama na wizi wa kijinga hivyo mpaka akemeee, waziri, RC, Polisi wako wapi?
HAHAHAAAAAA WAMEANDIKA BANGO BAKI NA TKT MPAKA MWISHO KUNA UKAGUZI SIJUI WANAKUGUA TKT ZILIZOCHANWA AMA

CHULULUU NDOLOLOOOO
 
Licha ya kulipwa pesa ndogo pia wanaweza kukaa miezi 4 hawajalipwa mishahara,
Hali ni ngumu sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya miradi inayosikitisha kwa uendeshaji wake ni huo. Yaani unaanzisha biashara ukiwa na uhakika wa Wateja zaidi ya milioni mbili lakini unashindwa kuundesha kwa ufanisi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kwanini Magufuli asinipe mimi niwe Mkurugenzi wa huu Mradi? Mbona huu mradi una hela nyingi But umekosa Management nzuri tu . Kiu fupi huu mradi umeshakufa muda mrefu sana . Ila ni moja ya Miradi ambayo ingeweza kuingizia nchi pato kubwa sababu Mkoa wa Dar unachangamoto kubwa ya Usafir.

Magufuli niteue niwe Mkurugenzi wa huu Mradi, ni pesa nyingi sana zinapotea.
 
Jana ilikuwa Kinondoni B jamaà wa mlangoni alinidai nilipomuonesha imechanwa akasema sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…