Moja ya miradi inayosikitisha kwa uendeshaji wake ni huo. Yaani unaanzisha biashara ukiwa na uhakika wa Wateja zaidi ya milioni mbili lakini unashindwa kuundesha kwa ufanisi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mtu analipwa 250k per month kabla ya makato, take home Ni kama200k hapo hujala, Kodi ya nyumba, nauli acha waibiwe tu.watu wanakwapua 2.4trillion we unaumia na hao wanaoiba vimia mia!? acha wivu wa kike
Mfumo unawafanya watu wasiwe wazalendo,Nowdays ndiyo maana ukimpa 1000shs chenji anakupa 400shs badala ya 350shs Ikiwa na maana 50shs hana, so anajua no hasara.
I had similar comment. Kuna swali la msingi la 1.5T, ambalo limebadilika kuwa 2.4T; ambalo majibu yake hayajapatikana.. Then sisi tunauana wenuewe kwa wenyewe.watu wanakwapua 2.4trillion we unaumia na hao wanaoiba vimia mia!? acha wivu wa kike
Yote hayo ni uzushi tu.I had similar comment. Kuna swali la msingi la 1.5T, ambalo limebadilika kuwa 2.4T; ambalo majibu yake hayajapatikana.. Then sisi tunauana wenuewe kwa wenyewe.
Baada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa
Zile tiketi zinazokuwa zimechanwa kwa juu zinarudishwa pale wanapokatia tiketi na sasa unapewa tiketi ikiwa imeshakatwa ukiuliza kwanini wanasema tumechania humu ndani
Swali kwanini mchanie ndani?
Kwanini vituo vingine kuna mtu pembeni anachana?
Vituo vinavyotoa tiketi zilizochanwa tayari ambazo zinarudiwa na watu kula pesa ni kuanzia
Shekilango mpaka Kimara Mwisho hii ni pamoja na Bucha Korogwe, Kona na vingine
Serikali mliangalie hili tusijelalamika tena na tena ikawa aibu
Alafu ukiangalia sampuli ya watu wanaolipwa hizo pesa c kwamba wana kitu cha ziada ni makanjanja tu wakina ndugai,msukuma,kibajaji mashilinji, kweli kazi ipo!Ibora waibe tu..Mfumo unawafanya watu wasiwe wazalendo,
Unakuta wakubwa wanalipwa 6m to 15m, then wanalipiwa nyumba, usafiri anapewa gari kokote aendako na posho kibao plus safari.
Huku mfanya wa chini ambae ndiye mfanyaji kazi mkubwa analipwa 250k to 300k kabla ya makato huyu halipiwi nyumba, halipwi nauli Wala Hana posho.
Acheni waibe tu maana maisha yao Ni magumu mno
ndugu unataka kunambia zile machine za kuscan barcode zimeshakufa zote duhhh kwel Tanzania ni dunia ya TatuBaada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa