MPENZI JINI
Member
- Sep 11, 2013
- 12
- 3
mripoti haraka sana huyo!
Dah, asante sana kwa mchango,itabidi nifanye hivyo.
Habari zenu ndugu wanajamvi, mada yangu hii ya leo inatokana na matembezi yangu siku ya jana katika kutafuta mkate wa kila siku. Nikaingia benk ya nmb pale kariakoo kupeleka kacheck kangu, sasa baada yakufanya taratibu zote za kudeposit yule kijana alinihudumia akaniandikia nambayake ya simu ili nimpigie aweze kunijulisha itakapokuwa tayari na nimjulishe siku nitakayoenda kuchukua. Sasa kilichinishtua nikwann anipemba yake? Na je maadili ya kazi yao yanaruhusu hayo? Kwa kitendo hicho cha huyo mfanyakazi si kuna uwezekano kukutengenezea hata mazingira ya kufanyiwa ujambazi? Naomba mnisaidie kwa hili wanajanvi.
wabongo bwana ukikuta huduma mbovu unalalamika ukipata huduma nzuri unawaza kuibiwa yaan hyo jamaa kukufanyia favour ushaanza kumuwazia mabaya
Tushazoe huduma mbovu tukihudumiwa vema tunawaza kuibiwa, shame! Siku hizi hata baadhi ya madaktari wanakupa namba zao za simu ili utoe feedback ya afya yako esp dawa zinavyo react kwenye mwili wako ama +vely or -vely. Na mfano mimi ni female, nshapewa namba na dr mwanamke na mwanaume, yote ni kutaka kujua naendeleaje baada ya matibabu. Na they never ask for my number, wao ndo wanakupatia namba and I find it very ok and feel caredkafanya hivyo kukusaidia coz maa nyingi namba za ofisi ni vigumu kupokelewa, sioni kama kuna tatizo kwa kuwa ni yeye aliekupa namba yake na hajaomba ya kwako, watu wanakwenda extra mile katika kukuhudumia pia hiyo pesa iko benk umedeposit sasa utaibiwaje mzee. Msipende kulaumu bila sababu.
Kama 15 hivi, naona ndo maana huyo jamaa kapagawa
Tushazoe huduma mbovu tukihudumiwa vema tunawaza kuibiwa, shame! Siku hizi hata baadhi ya madaktari wanakupa namba zao za simu ili utoe feedback ya afya yako esp dawa zinavyo react kwenye mwili wako ama +vely or -vely. Na mfano mimi ni female, nshapewa namba na dr mwanamke na mwanaume, yote ni kutaka kujua naendeleaje baada ya matibabu. Na they never ask for my number, wao ndo wanakupatia namba and I find it very ok and feel cared
The truth shall set u free.