LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,227
- 11,416
Moja kati ya watu Ambao nlipinga sana kubinafsishwa kwa Bandari basi mimi ni mmojawao sikupenda kabisa huu mpango, Lakini nilipokaa na kukumbuka kipindi najitafuta nikiwa nafanya Vibarua Bandarini kabla sijapata ajira ya kudumu naona acha hiyo bandari waarabu waichukue wafanyakazi walikuwa wanafanya kazi kwa mazoea sana
Moja kati ya mambo nliyokutana nayo ni waajiriwa kufanya kazi kwa mazoea na kujiskia kupitiliza na kuwa na zarau,Pia waajiriwa walikuwa ni wavivu ,vibarua ndio tuliokuwa tunachapika kwazi nyingi huku waajiriwa wamerelax maofisini
Supervisor anakuja kutoa maelekezo shift ya usiku pale Berth, ikifika saa sita anatafuta chaka anaenda kulala hadi asubuhi anarudi pale berth alfajiri kuzuga kuchukua ripoti kwa vibarua alafu anasepa nyumbani mapema tu, yaani watu walifafanya kazi kwa mazoea kupitiliza.
Mambo ya lunch time masaa ndio uspime, mizgo inajaa bandarini meli zinasongamana plus tetesi za upigaji hivi mlitegemea Seriakali ifanye nini, Wananchi tumewatetea hadi wenyewe tunafika mda tunaona aibu maana Taasisi za Serikali kuwatetea ni aibu sana
Hata kama ningekuww mimi namiliki Bandari naweka ndugu zangu wazawa wasimamie Alafu wanatumia hiyo nafasi,kufanya upigaji alafu kila mwezi naletewa hesabu ya sh milioni 200, alatu aje mwekezaji aniambie tuingie mkataba kila mwezi nikuletee Bilioni moja na Hesabu inaweza kupanda ,unazani nitafuga majizi niache hiyo bilioni moja na ushee?
Wabongo tukubaliane kila sehem tunayoachwa kuendesha wenyewe tunaishia kuiba na kufanya kazi kwa mazoea tu mwishowe tunapata hasara, angalia ATCL,TRC,TTCL,MWENDOKASI, Huku kote Seriali iendelee kuwapa wawekezaji heshima iwepo