Wafanyakazi wa toyota branch la tanzania wamegoma, moja ya sababu ni mshahara mdogo sana waolipwa wafanyakazi wakitanzania. Huku wafanyakazi kutoka india na other experts, walikilipwa ma milion ya hela. Hii ni muendelezo wa wafanyakazi wakitanzania kuendelea kunyonywa ndani ya nchi.
hilo ni tatizo sugu tanzania maana kuna sehemu nimeshawai kufanya kazi kuna muhindi mmoja akaondoka kwahiyo nafasi yake ikawa wazi walipokuja kumuajiri mtanzania kwenye ile nafasi alipewa robo ya mshahara aliokuwa anapata muhindi pia gari hakupewa wakati muhindi alikuwa nayo!! kazi ni kwako, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees
Hapo kwenye red, hii sio branch ni kampuni inayojitegemea.
Mkuu Bebrn,
Sina nia ya kuchochea mjadala au si nia yangu kama mtanzania mzalendo kuonekana kuwa ninaafiki na ninapendezwa na hali ya mambo inayotokea katika sehemu za kazi, hususan uendeshwaji wa MNCs, lakini napenda nitoe angalizo kidogo la jinsi wataalamu wanavyopanga viwango vya mishahara na marupurupu kwa wageni wanaofanya kazi Tanzania na vigezo vinavyoumika.Bahati mbaya ninaviandika kwa kiingereza kutokana na kupata ugumu wa kuviweka kwenye kiswahili;
1. Cost of Living ya ile nchi anayokwenda kufanya kazi, na mara nyingi huwa 49% ya mshahara ambao ungelipwa akiwa kwao
2. Quality of Life ambayo basis yake ni Basic salary, (17%)
3. Tax - (hapa inazungumziwa PAYE), hulipwa na mwajiri kutokana na utofauti wa viwango vya kodi kati ya HOME COUNTRY na HOST COUNTRY
Nawasilisha japo kwa masikitiko