KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 628
Poleni na hongereni kwa kula bata wknd hii.
Wakuu, naomba tupeane mifano ya kero wanazozipata wateja kutoka kwa wafanyabiashara.
Baadhi ya wafanyabiashara huwa wanakera kwa kuweka matangazo ya huduma au bidhaa ambazo hawana
Kwa mfano, unakuta duka lina tangazo kubwa
TUNAUZA VOCHA ZA AINA ZOTE:
VODACOM, AIRTEL, TiGO, HALOTEL, n.k
Kama ulikuwa upande wa pili wa barabara utavuka ili ununue muda wa maongezi. Huku ukihema kwa kukoswakoswa na magari na bodaboda, unamwambia mhudumu:
"Samahani, naomba vocha 2 za halotel" utasikia
"Halotel hatuuzi labda jaribu pale" anakuonesha duka la mbele yako huku uso wake mkaaavu.
Mabwege sana tu.
Tupia mfano mwingine wa kero hapa mwanajamvi.
Kabla hujaweka kero yako, nigongee like kwanza hata kama hujaipenda post, hahahaaa
Nakutakia J3 Njema!